Desemba 29, 2016

AUDIO: Wanasiasa 6 wa Tanzania wataja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016


Hakuna anaebisha kwamba kadri time inavyosogea ndio muziki wa Bongofleva unazidi kuwashika hata waliokua hawashikiki na ndio maana sasa hivi sio ajabu kumkuta mtu mzima anausikiliza.
AyoTV na millardayo.com zinakusogezea Wanasiasa 6 wa Tanzania wakitaja nyimbo zao bora za bongofleva kwa mwaka 2016, bonyeza play hapa chini uwasikie wenyewe….

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni