Desemba 14, 2016

izzo B  New Video & Abela 
#UMENIWEZA

Bado tunasogezea midundo mipya kutoka kwa mastaa wetu wa bongo flava, leo nakukutanisha na hii zawadi ya ‘Umeniweza’ ya Izzo Bizness aliyoshirikiana na Adela Music. Ukimaliza kuitazama unaweza kudondosha comment yako kuhusu huu mdundo na kisha Izzo B atapita kuzisoma.
CHAKUFAHAAMU KUHUSU LABEL YA AMAZINGI YA IZZO BIZNESS BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
S....MilardAyo.com
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni