Januari 03, 2017

MAGOLI YOTE YANGA VS JAMUHURI YA PEMBA 6-0

VUshindi wa 6-0 wa Yanga vs Jamhuri ya Pemba 

Mapinduzi Cup 2017

Magoli ya Yanga dhidi ya Jamhuri yalifungwa na Simon Msuva dakika ya 19, 40, Donald Ngoma dakika ya 23, 37, Thabani Kamusoko dakika ya 59 na goli la mwisho la Yanga lilifungwa na Juma Mahadhi akitokea benchi, kwa matokeo hayo Yanga wanapata nafasi ya kuongoza Kundi B wakiwa na point 3 sawa na Azam FC ila Yanga anaongoza kwa tofauti ya goli 5.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni