Septemba 23, 2015

Forbes Imetoa orodha ya wasanii wa hiphop waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2015.

BURUDANI MYUMBANI

By zmtj222 | September 23, 2015

94SHARES

SHARE

TWEET

SHARE

SHARE

0 COMMENTS

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii wa hiphop waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2015 Hip Hop Cash Kings .Diddy  ameshika namba moja akiwa na dola milioni $60 million na imetajwa ni kwa mafanikio ya kinywaji chake cha Ciroc .

Orodha kamili iko hapa.

Diddy $60 million

Anamiliki TV network ya Revolt, clothing line Sean John, alkaline water brand Aquahydrate na Ciroc vodka.
2. Jay Z: $56 million

Anamiliki Roc Nation na Armand de Brignac champagne
3. Drake: $39.5 million

Mauzo ya album ya If You’re Reading This It’s Too Late na dili za Sprite na Nike.
4. Dr. Dre: $33 million

Kauza beats eletronics kwa dola milioni $620 mwaka jana, kazi na  Apple na kutengeneza muziki na pesa za filamu yaStraight Outta Compton pamoja na album.
5. Pharrell: $32 million

Jaji wa show ya The Voice, yupo kwenye Billionaire Boys Club na nguo za Ice Cream
6. Eminem: $31 million
7. Kanye West: $22 million
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
9. Nicki Minaj: $21 million
10. Birdman: $18 million
11. Pitbull: $17 million
12. Lil Wayne: $15 million
13. Kendrick Lamar: $12 million
13. J. Cole: $11 million
14. Snoop Dogg: $10 million
16. Rick Ross: $9 million
17. Tech N9ne: $8.5 million
18. Ludacris: $8 million
19. T.I.: $6 million
20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni