Mei 23, 2016

tuna kuangazia na kukupa kile unachostahiki
Spika wa Bunge Kauweka wazi mpango huu ili kuwatambua walevi
May 23, 201

nipashe 3
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe baada ya kufanya nae mahojiano juu ya hatua ya Rais Magufuli kumtimua Kitwanga katika baraza lake la mawaziri kwa sababu aliingia bungeni na kujibu swali la Wizara yake akiwa amelewa.
Kutokana na hali hiyo Spika Ndugai amelieleza gazeti la Nipashe sasa wanafikiria kuweka vifaa maalumu vya kupima ulevi kwa watunga sheria hao na kutafuta wataalamu wa ushauri nasaha watakaowapa msaada wa kisaikolojia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni