Januari 07, 2017

FACEBOOK YAKADILIWA KUWA NDIO MTANDAO UNAONGOZA KWA UONGO


Facebook yakabiliwa na habari za uwongo mtandaoni





Si kila unachokisoma mtandaoni ni cha kweli. Taarifa za uwongo zinazosambazwa katika mtandao wa Facebook zimezua gumzo kubwa duniani kote, miezi ya hivi karibuni. Sema Uvume inaangalia namna ya kujikinga na taafira za uwongo, na namna ya kwenda Live kwa vidio katika mtandao mwengine wa Twitter.



 
Sikiliza sauti09:45

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni