Januari 07, 2017

MICHEZO:Rooney airudia rekodi ya Sir Bobby Charlton.

Rooney asawazisha mabao na Bobby Charlton

Rooney aliihama Everton kwa kima cha pauni milioni 27 mwaka 2004.
Image copyrighIe capti
Wayne Rooney amasawazisha idadi ya mabao na ya Sir Bobby Charlton ambaye aliwezk rekodi ya kufunga idadi kubwa zaidi ya mabao akichezea klabu ya Manchester United.
Rooney mwenye umri wa miaka 31 alifunga bao wakati wa mchuano kati ya Manchester United na Reading na kufikisha jumla ya mabao 249 kwa mechi 543.
Rekodi hiyo ya Charlton imekuwepo tangu mwaka 1973.
Mwaka 2015 Rooney alivunja rekodi ya Charlton ya mabao 49 aliyofungia timu ya England na kuongeza idadi hiyo hadi mabao 53.
Rooney alionyesha dalili za kuvunja rekodi hiyo tangu mwanzo, alipohamisha taaluma yake hadi Old Trafford.
Wakati wa mechi yake ya kwanza alipoihama Everton kwa kima cha pauni milioni 27 mwaka 2004 alifunga bao dhidi ya Fenerbahce
Image copy
Jinsi Rooney alifunga mabao yake
Image captionJinsi Rooney alifunga mabao yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni